Main Title

source : Abna
Jumapili

8 Septemba 2024

14:21:49
1483716

Habari Pichani | Kuzikwa kwa mwili wa Ayatollah Sayyid Fazel Milani katika Haram Tukufu la Hadhrat Amir al-Muuminina (a.s)

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mwili wa Marehemu Ayatollah Sayyid Fazel Milani, mmoja wa watu mashuhuri wa Shia aliyekuwa akiishi Uingereza, na Mjumbe wa Baraza Kuu la Imam Khoei Charitable Foundation ndani ya London, ulizikwa huko katika Madhabahu / Haram Tukufu ya Hadhrat Amirul Muuminina (a.s), katika Mji wa Najaf Al_Ashraf.