source : Abna
Jumamosi
14 Septemba 2024
16:08:49
1485105
Habari Pichani | Mkutano wa Viongozi wa Makundi ya Mashia wa Iraq na Dkt. Pezeshkian
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye ameitembelea Iraq, alihudhuria katika Mkutano wa Viongozi wa Makundi ya Mashia nchini humo