source : Abna
Jumatano
25 Septemba 2024
19:16:58
1488532
Habari Pichani | Maadhimisho ya tarehe 17 Rabi'ul Awwal kwa kuhudhuriwa na Waislamu wa Shia na Sunni huko Sarpol, Afghanistan
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s.) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) na Imamu Sadiq (a.s) ilifanyika mbele ya Wanachuoni wa Kishia na Kisunni katika Hawzat ya Mtoto wa Imam Yahya (a.s), katika Mji wa Sarpul, Afghanistan.