source : Abna
Jumapili
29 Septemba 2024
20:28:02
1489842
Habari pichani | Marasimu ya kumbukumbu ya Shahidi Syed Hassan Nasrullah katika Haram Tukufu ya Maimamu wawili Ali Al-Had na Hassan Al-Askari na (amani iwe juu yao)
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya kumbukumbu ya Shahidi, Hojjat al-Maliki wal Muslimeen, Syed Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hezbollah ya Lebanon, yalifanyika katika Haram Tukufu ya Maimamu wawil Al-Askariyayni (a.s) katika Mji wa Samarra, katika Mkoa wa Salah al-Din wa Iraq.