Main Title

source : Abna
Jumapili

29 Septemba 2024

20:29:44
1489843

Ripoti ya Video | Maandamano makubwa ya kulaani mauaji ya Shahidi Syed Hassan Nasrullah huko Kargil, India

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Kwa mnasaba wa kuuawa Shahid Syed Hassan Nasrullah, wananchi wa India wameandamana kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuunga mkono upande wa mapambano ya (Muqawamah) Upinzani ya Wananchi wa Lebanon.