source : Abna
Alhamisi
3 Oktoba 2024
20:30:27
1491348
Ripoti pichani | Marasimu ya kumbukumbu ya Shahid Syed Hassan Nasrullah katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - marasimu za kumbukumbu juu ya Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hezbollah ya Lebanon, Kiongozi wa fahari wa Uislamu, na Shahidi Nilfroushan na Mashahidi wengine wa safu ya mbele ya Muqawamah, yamefanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la Mashia wa Urusi katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow, katika Mji Mkuu wa nchi hii.