Main Title

source : Abna
Jumatano

9 Oktoba 2024

12:40:54
1493150

Video | Watu wa kujitolea wakiwapikia chakula Wakimbizi Mashia wa Lebanon

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Kila siku, makumi ya maelfu ya milo hupikwa kupitia watu wanaojitolea kwa usimamizi wa Hezbollah ya Lebanon kwa ajili ya Wakimbizi katika maeneo mbalimbali ya nchi hii, na milo hii husambazwa katika maeneo ya makazi ya wakimbizi hawa katika mamia ya maeneo nchini Lebanon.