source : Abna
Jumatano
9 Oktoba 2024
12:42:34
1493151
Habari Pichani | Haram ya Imam Ali (a.s) yalifunikwa kwa rangi nyeusi usiku wa kuamkia kifo cha Kishahidi cha Hadhrat Fatima (s.a).
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Uwanja na Ukumbi wa Haram Tukufu ya Hadhrat Ali (a.s) vilifunikwa kwa rangi nyeusi usiku wa kuamkia mwaka wa kuuawa Shahidi Mke wake Hadhrat Fatima al-Zahra (s.a) .