source : Abna
Jumatano
23 Oktoba 2024
18:31:08
1497650
Video | Kuokoka kwa Mwanamke ambaye alikuwa amenasa chini ya vifusi vya nyumba yake huko Gaza kwa siku 5
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt - ABNA - Jeshi la Ulinzi (uokoaji) la Raia la Palestina lilimuokoa Mwanamke ambaye alikuwa amenasa chini ya vifusi vya nyumba yake kwa muda wa siku tano baada ya shambulio la anga la Israel huko Gaza. Mwanamke huyu alinasa (na kukwama) chini ya vifusi vya nyumba yake wakati wanajeshi wa Israel waliposhambulia kwa mabomu Kitongoji cha "Tel al-Hawa" ; huko Gaza.