source : Abna
Jumatano
23 Oktoba 2024
18:34:24
1497652
Video | Mshikamano kwa watu wa Gaza na Lebanon huko Rotterdam, Uholanzi
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Maandamano makubwa yamefanyika Rotterdam, Uholanzi, kwa ajili ya kuonyesha mshikamano wao kwa Wapalestina na Lebanon, na washiriki katika Maandamano hayo walitoa wito wa kukomeshwa mara moja kwa mauaji ya kimbari ya utawala haram wa Kizayuni huko Gaza.