source : Abna
Jumanne
29 Oktoba 2024
02:15:43
1499121
Video | Kukatisha Hotuba ya Netanyahu: "Haya maneno sasa yanatosha, hebu kuwa na aibu ..."
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Leo, wakati wa Hotuba ya Netanyahu juu ya Wana Jeshi wa Kizayuni waliokufa vitani, familia moja ya Kizayuni ambayo mtoto wake wa kiume aliuawa katika vita hivyo kwa hasira alinyanyuka na kusema katikati ya hotuba ya Netanyahu: "Haya maneno sasa yanatosha, hebu kuwa na aibu ..."