source : Abna
Jumapili
10 Novemba 2024
19:50:37
1503257
Video | Msichana wa Kipalestina huko Gaza anatumia mikebe ya samaki ya tuna ikiwa ni badala ya viatu!
Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul_Bayt - ABNA - Msichana wa Kipalestina anatumia mikebe ya samaki ya tuna kama viatu katika Ukanda wa Gaza. Video hii imeamsha hisia za watu wengi kwenye mitandao ya kijamii.