source : Abna
Jumapili
17 Novemba 2024
19:40:35
1505480
Video | Damu ikimwagika mbele ya Ubalozi mdogo wa Israel huko Toronto
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kadhaa ya Wanaharakati wa Kiyahudi walifunika ngapi za Ubalozi mdogo wa Israel huko Toronto, Canada kwa damu, na kuutaka Utawala huo kukomesha mauaji yake ya halaiki huko Gaza. Wanaharakati wa Kiyahudi walisema katika taarifa yao: "Sisi kama Wayahudi wa Canada, tunaitaka Canada kukomesha hatua yake ya kuipatia Israel silaha na kuifadhili."