Main Title

source : Abna
Jumanne

19 Novemba 2024

16:42:39
1506141

Video | Adhana katikati ya magofu

Kwa mujibu wa Shirika la habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Ilichapishwa Video ikimuonyesha muadhini akisoma adhana ya Sala kutoka katikati ya Msikiti ulioharibiwa na Kubakia ni gofu katika mashambulizi ya Israel, katika mji wa Tiro, Kusini mwa Lebanon.