Main Title

source : Abna
Jumatano

27 Novemba 2024

16:43:11
1508753

Video | Kushushwa Bendera za Utawala Haram wa Kizayuni Kusini mwa Lebanon kupitia watu wa Lebanon

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Vyombo vya Habari vya Lebanon vilichapisha picha zinazoonyesha kushushwa kwa Bendera za Utawala Haram wa Kizayuni kulikofanywa na Wananchi wa Lebanon baada ya kurejea katika makazi yao Kusini mwa Lebanon.