source : Abna
Jumatano
4 Desemba 2024
19:32:25
1511062
Video | Watoto wa Kishia wa Mji wa Nubul na Al-Zahra walilazimika kula nyasi kutokana na njaa
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Watoto wa Kishia waliofurushwa kutoka Syria katika Miji ya Nabul na Al-Zahra, baada ya kuondoka majumbani mwao, wamezingirwa na magaidi wa kitakfiri katika Mji wa Al-Safira Kusini mwa Aleppo. Kwa bahati mbaya, walilazimika kula nyasi kutokana na kufungwa kwa njia zote za misaada.