source : Abna
Jumatano
4 Desemba 2024
19:35:32
1511063
Video | Wanaharakati wa Kiyahudi dhidi ya Utawala Haram wa Kizayuni waliingia katika Bunge la Canada
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Wanaharakati wa Kiyahudi nchini Canada, wanaopinga vita dhidi ya Gaza, jana walishambulia moja ya majengo ya Bunge la Canada Mjini Ottawa na kutaka kuwekewa vikwazo vya silaha Utawala Haram wa Kizayuni.