source : Abna
Jumanne
10 Desemba 2024
19:26:37
1512751
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Vyombo vya Habari vya Palestina vilichapisha picha ya kuharibiwa kwa Mnara wa Msikiti katika Mji wa Rafah Kusini mwa Ukanda wa Gaza kwa kutumia tingatinga za Utawala Haram wa Kizayuni.