Main Title

source : Abna
Jumamosi

14 Desemba 2024

15:06:58
1513706

Ukusanyaji wa Bendera na Turba kutoka katika Haram Tukufu ya Hazrat Ruqayyah (s.a)

Vitabu vya Ziarat vilivyopo ndani ya Haram Tukufu ya Hazrat Ruqayyah (s.a) vimekusanywa.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ukurasa rasmi wa Haram Tukufu ya Hadhrat Ruqayyah (amani iwe juu yake), ulitangaza kuwekewa vikwazo vipya katika maeneo ya Haram hii Tukufu.

Kwa mujibu wa Habari iliyochapishwa katika ukurasa huu, kwa mujibu wa amri iliyotolewa, Bendera, Turba, Mafatih na Vitabu vya Ziarat, vimekusanywa kutoka kwenye Haram Tukufu ya Hadhrat Ruqayyah (s.a).

Siku mbili zilizopita, kundi la Wapinzani wenye silaha lilitembelea sehemu tofauti za Haram Tukufu ya Hazrat Ruqayyah (s.a) katika Mji wa Damascus.