Main Title

source : Abna
Jumatano

18 Desemba 2024

21:01:42
1514852

Video Mwitikio wa Mwanamke Ajuza wa Kipalestina ambaye alipokea matunda baada ya mwaka mmoja

Kulingana na Shirika la Habari la Ahl_al_Bayt - ABNA - Imechapisha na kusambazwa Video ya Mwanamke ajuza wa Kipalestina Kaskazini mwa Gaza ikionyesha namba alivyopata matunda kwa mara ya kwanza (na radi amali yake ikiwa ni) baada ya kunyimwa Haki hiyo kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na vita (haram vya Kizayuni dhidi ya Gaza) na kuzingirwa kwa Gaza na kuzuia utoaji na uingiaji wa misaada (ya Kimataifa).