source : Abna
Jumatano
18 Desemba 2024
21:03:38
1514853
Video | Kuuma Kitambaa kwa sababu ya kukosekana kwa dawa za kutuliza maumivu huko Gaza
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl -ul- Bayt (a.s) - ABNA - Kutokana na kukosekana kwa dawa za kutuliza maumivu, Mpalestina huyo (katika video) aliyejeruhiwa, anaonekana alipokuwa akijifunga jeraha katika Hospitali ya Kamal Adwan Kaskazini mwa Mkoa wa Gaza, huku akichukua kipande cha kitambaa na kukiuma kwa meno yake (kupunguza maumivu) kutokana na maumivu makali anayoyahisi.