Main Title

source : Abna
Jumatano

18 Desemba 2024

21:08:13
1514856

Video | Adhana katika Haram Tukufu ya Hazrat Zainab (s.a) baada ya kuanguka kwa Bashar al-Assad

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul - Bayt (a.s) - ABNA - Wanaharakati wa mitandao ya kijamii mtandaoni, wamechapisha video ya Adhana / Wito wa Swala kwa msingi wa Fiqhi ya Shia kutoka kwenye Haram Tukufu ya Hazrat Zainab (s.a), ambayo inahusiana na baada ya kuanguka kwa Utawala wa Bashar al-Assad.