Main Title

source : Abna
Ijumaa

20 Desemba 2024

20:33:43
1515267

Video | Kauli mbiu ya "Palestina Huru" katika Mji Mkuu wa Ireland

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Kundi la wafuasi wa Palestina nchini Ireland waliimba kauli mbiu "Palestina Huru" huko Dublin. Katika siku zilizopita, habari za kufungwa rasmi kwa Ubalozi wa Israeli katika nchi hii zilichapishwa na kusambazwa.