source : Abna
Ijumaa
20 Desemba 2024
20:44:42
1515280
Video | Binti mdogo wa Kipalestina alipigwa kwenye paji la uso na vipande vya kombora
Kulingana na Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Video imechapishwa ya Binti Mdogo wa Kipalestina akiwa amekaa kimya Hospitalini huku vipande vya makombora vikigonga paji la uso wake na kuangalia upande mmoja bila kulia au kupiga mayowe.