Main Title

source : Abna
Jumatatu

23 Desemba 2024

19:31:00
1516196

Video | Sherehe za Wasichana 600 wafuasi wa Ahlul_Bayt (a.s) huko Najaf al_Ashraf

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Sambamba na wakati wa kuzaliwa kwa Hazrat Zahra (s.a), chini ya mpango wa mwakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) nchini Iraq, Sherehe za wasichana 600 waliofikia Umri wa kubalehe na wafuasi wa Ahl al-Bayt (a.s) zilifanyika katika Mji wa Najaf al_Ashraf.

Ayatollah Syed Mojtaba Hussein, Mwakilishi wa Mwanasheria wa Kiislamu nchini Iraq, na Muhammad Reza Al Ayyub, Mwakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s) nchini Iraq, na Hojjat al-Islam wal- Muslimin, pia ni miongoni mwa waliohudhuria katika hafla hiyo.