source : Abna
Alhamisi
2 Januari 2025
20:00:58
1519470
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Idara ya Wanawake ya "Muslim Unity Party of Pakistan" / "Chama cha Umoja wa Waislamu wa Pakistan" ilitengeneza video kwa ajili ya kumbukumbu ya Shahid Yahya al-Sin'war, Marehemu na aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Hamas; na kusisitiza juu ya malengo ya Shahid huyo.