source : Abna
Jumatano
8 Januari 2025
16:05:44
1521286
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Mvua kubwa na mafuriko yameikumba katika Miji ya Saudi Arabia, ikiwemo Makkah na Madina. Mamlaka ya Saudia imewataka raia wa nchi hii kuwa waangalifu na kukaa mbali na mito na maeneo ambayo mafuriko hutiririka.