source : Abna
Jumanne
14 Januari 2025
04:42:30
1522742
Video | Msafara wa Kwanza wa Mazuwwari wa Iraq baada ya kuanguka kwa Serikali ya Assad umeingia kwenye Haram ya Hazrat Zainab (s.a)

Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul Bayt(a.s) - ABNA - Video |Msafara wa kwanza wa Mazuwwari wa Iraq baada ya kuanguka kwa Serikali ya Assad umeingia kwenye Madhabahu (Haram) ya Hazrat Zainab (s.a) siku ya Jumapili.