Israel
-
Abdulmalik al-Houthi Awashutumu Waislamu Bilioni Mbili kwa “Kukaa Kimya” Kuhusu Matukio ya Gaza
Katika hotuba yake, al-Houthi alieleza kwa masikitiko na ghadhabu hali ya “kutochukua hatua” kwa Waislamu zaidi ya bilioni mbili duniani, akisema kuwa ukimya huo ni “aibu na fedheha” inayoweza kuleta madhara si tu kwa Palestina, bali pia kwa ulimwengu mzima wa Kiislamu.
-
Jeshi la Israel lawageukia Wayahudi wa Kigeni ili kutatua uhaba wa wanajeshi
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, jeshi la Israel linapanga kuwalenga zaidi Wayahudi vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 25 kutoka Marekani na Ufaransa, kuwahimiza wahamie katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kujiandikisha jeshini kwa kipindi cha miaka kadhaa.
-
Mmiliki wa Mawkibu Muiraq Katika Mahojiano na ABNA:
Arubaini ni fursa yenye thamani kubwa ya kubainisha uhalisia wa Jamhuri ya Kiislamu na tabia ya kinyama ya Israel
Mmiliki wa Mawkibu kutoka Iraq, akisisitiza umuhimu wa Jihadi ya Kuelimisha katika siku za Arubaini ya Imam Hussein (a.s), amesema kuwa siku hizi ni fursa muhimu ya kuwapa uelewa mataifa mbalimbali.
-
Mufti wa Oman:
“Inasikitisha kuwa waandishi wa habari wanauawa Gaza na baadhi wanaendelea kuwaunga mkono wavamizi”
Mufti wa Oman amelaani mauaji ya waandishi wa habari katika mji wa Gaza yaliyofanywa na jeshi la Israel, na kutamka masikitiko yake juu ya kuendelea kwa baadhi ya watu na nchi kuunga mkono wavamizi.
-
Alim wa Kishia wa Pakistan:
Waarabu kwa Usaliti Wao Wameiacha Palestina Ikiwa na Majeraha Makubwa Yasiyotibika
Mmoja wa maulamaa mashuhuri wa Kishia nchini Pakistan amesema kuwa usaliti wa Uturuki, baadhi ya nchi za Kiarabu na washirika wao umeacha majeraha makubwa yasiyoweza kupona katika mwili wa Palestina.