Habari Muhimu

Amerika

Marekani na Urusi zapiga hatua katika mchakato wa amani ya Syria

Marekani ambayo inaunga mkono upande wa magaidi na Urusi ambayo inaunga mkono upande wa serikali zimepiga hatua kuelekea makubaliano mapya ya kusitisha mapigano nchini Syria, baada ya mazungumzo marefu baina ya mawaziri wa mambo ya nje ya nchi hizo mjini Geneva Ijumaa usiku.

We are All Zakzaky
بی کفایتی آل سعود