Utafiti: Wahamiaji nchini Ujerumani wanakabiliwa na umaskini kutokana na ubaguzi wa rangi
Utafiti mpya umebaini kuwa, wahamiaji nchini Ujerumani wanakabiliwa na hatari kubwa ya umaskini kutokana na ubaguzi wa rangi. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Kituo cha Utangamano na Utafiti wa Masuala ya Wahamiaji cha Ujerumani.