Msemaji wa Guterres: Hakuna mtu aliye na haki ya kuitishia Mahakama ya kimataifa ya Jinai (ICC)
Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa missada inapasa kuingia Ukanda wa Gaza bila ya kizuizi chochote na kwamba upande wowote haupasi kutoa vitsho kwa wafanyakazi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).