Main Title

source : ABNA
Jumanne

7 Januari 2020

12:09:04
1000230

Kiongozi wa masuala ya uenezi mjini Tehran “mji mkuu wa Iran” amesema: kwa ushache watu milioni 7 walijitokeza jana kuuaga mwili wa kamanda Qasim Suleiman pamoja na waambata wake mjini humo

Shirika la habari AhlulByat (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na naibu kiongozi wa masuala ya usambazaji “Nusratullah Lutfi” baada ya kuwashukuru wananchi wote waliohudhuria maadhimisho hayo yasiokuwa na mfano duniani, jambo linaliaashiria ihlasi na utumishi wa kweli katika majukumu ya mashujaa yao waliokuwa wamepewa yeye pamoja na Kamanda Abumahdi Almuhamdisi na waambata wao, huku akiashiria idadi kubwa ya watu waliojitekeza katika maadhimisho akisema, kwa mujibu wa maelezo ya wataalamu wa takuwimu zinasema kuwa ni zaidi ya watu milioni 7 walishiriki kuanga miili ya mashujaa hao, ambao walifurika katika maeneo mbali ya mji wa Tehran.

Aidha akiendelea kutoa shukurani zake za thati kwa wananchi waliojitokeza katika kutoa hamasa zao za kuwatukuza majemidali hao kwa kuunga mkono kazi zao waliokuwa wamezifanya kwaajili ya kutetea ubindamu na uislamu kwa ujumla.

Kwa upande mwingine wananchi wa miji ya Ahvaz, Mashad na Qum kwa kujitokeza kwa wingi katika maeneo yao na kuwaaga mashujaa hao, huku akiwataka wanancho wote kuhudhuria maadhimisho yatakayofanyika usiku wa kwanza wa kuzikwa kwa mashuja itakayofanyika leo baada ya sala ya Magharibi katika maeneo yote ya Iran.

Mwisho amemaliza kwa kumshukuru Kamanda Qasim Soleimani na wenzake kwa kutekeleza wadhifa wao wa kuwasaidia wanyonge na madhaifu na kuleta umoja na suluhu kwa walimwengu wote bila ya kutafautisha kati ya waislamu na wengine wasiokuwa waislamu katika mataifa mbalimbali nk.

mwisho/290