mwisho/290
source : ABNA
Jumanne
7 Januari 2020
19:56:57
1000346
PichaHabari za IranAsiaSehemu maalumu ya mashujaa Makamanda wa Kislamu Haji Qassim Soleimani Na Abumahdi Almuhandisi
habari za picha
Maandamano dhidi ya Marekani nchini Pakistani wakipinga mauaji ya kamanda Qasim Soleiman
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia mauaji ya kikatili yaliofanywa na utawalka wa Marekani na Israel dhidi ya Kamanda Qasim Soleiman na Abumahdi Almuhandisi pamoja na waambata wao, wananchi wa Pakistan katika mji wa Karachi wameandamana katika maeneo mbalimbali ya mji huo kupinga mauaji hayo ya kikatili yaliofanywa na majeshi ya Marekani katika kiwanja cha ndege cha Baghdad nchini Iraq