Main Title

source : ABNA
Jumatano

8 Januari 2020

03:45:50
1000362

Makombora ya Iran yashambulia ngome ya Marekani

Makombora ya Iran yashambulia ngome ya Marekani

Makombora kadhaa ya Iran yameshambulia ngome ya Marekani ya Ainul Asad iliyopo katika nchi ya Iraq.

shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Makombora kadhaa ya Iran yameshambulia ngome ya Marekani ya Ainul Asad iliyopo katika nchi ya Iraq.

Tukio hilo lilotokea alfajiri ya kuamkia leo Jumatano, ni katika kufanyia kazi kauli mbiu ya “Kisasi Kikali” inayoendeshwa na Iran baada ya kuuliwa kwa kamanda wake Qasem Soleimani.