Main Title

source : ABNA
Jumatano

8 Januari 2020

05:26:55
1000406

Taarifa kutoka katika kitengo cha habari cha Jeshi la ulinzi la Iran zinasema kwamba idadi ya wahanga wa shambulio la Majeshi ya Iran katika kambi za Marekani nchini Iraq, inakadiriwa kufikia 280.

Shirika la habari la Ahlul Bayt (as): Taarifa kutoka katika kitengo cha habari cha Jeshi la ulinzi la Iran zinasema kwamba idadi ya wahanga wa shambulio la Majeshi ya Iran katika kambi za Marekani nchini Iraq, inakadiriwa kufikia 280.

katika idadi hiyo ambapo zaidi ya Wanajeshi 80 wamepoteza maisha huku wengine zaidi wakibakia ni majeruhi.

harakati za kuwahamisha majeruhi katika kambi hizo bado zinaendelea.

Aidha taarifa nyingine zinasema kwamba mpaka sasa zaidi ya sehemu 104 za Marekani tayari zipo katika jicho la Majeshi ya Sepah, ikisubiriwa tu Marekani atachukua radiamali gani kunako tukio hili.

mwisho/290