Main Title

source : ABNA
Jumatatu

13 Januari 2020

04:40:53
1001797

habari za picha

Maandamano makubwa yafanyika mjini New Delhi India kupinga mauaji ya Marekani dhidi ya kamanda Qasim Soleimani na wenzake

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamia ya wananchi wa mji wa (New Delhi) ambao ni mji mkuu wa India wamemiminika barabarani siku ya Jumapili kupinga mauaji ya kigaidi yaliofanywa na serikali ya Marekani dhidi ya Kamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi pamoja na waambata wao. Walioshiriki katika maandamano hayo, walikuwa wameshika picha za mashujaa waliowawa kikatili na serikali ya Trump, kwa upande mwingine wakiwa na picha za kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran Ayatollah Sayed Ali Khamenei na kiongozi wa kikundi cha Hizbullah Sayed Hasan Nasrullah nk, huku wakiwa wanalaani vikali utawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel kwa kujihusisha na mauaji hayo. Alkadhalika wiki iliopita mamia ya waislamu wa India walikusanyika mkabala na ubalozi wa Marekani mjini New Delhi kwaajili ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na kitendo cha kigaidi cha utawala wa Marekani.

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

تظاهرات بزرگ مردم \

mwisho/290