mwisho/290
source : ABNA
Jumatatu
13 Januari 2020
05:04:38
1001810
PichaHabari MuhimuHabari za AmerikaAsiaSehemu maalumu ya mashujaa Makamanda wa Kislamu Haji Qassim Soleimani Na Abumahdi Almuhandisi
habari za picha
Sauti ya kuilaani Marekani yasikika mkabala na ubalozi mdogo wa Marekani mjini Lahore Pakistan
siku kumi baada ya mauaji
Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamia ya wananchi wa mji wa (Lahore) Pakistan wamepaza sauti zao nchini humo wakiwa mkabala na ubalozi mdogo wa Marekani wakipinga mauaji ya kikatili yaliofanywa na sirikali ya Marekani dhidi ya Kamanda Qasim Soleimani Abumahdi Almuhandisi, hiyo ikiwa ni siku ya Jumapili sawa na siku ya kumi ya kuuwawa kishujaa kwa Kamanda Qasim Soleimani Abumahdi Almuhandisi na waambata wao. Walioshiriki katika maandamano hayo walitoa heshima za dhati kwa mashujaa hao huku wakiiani vikali serikali ya Marekani kwa kujihusisha na mauaji hao.