Main Title

source : ABNA
Jumatano

22 Januari 2020

18:46:06
1004603

habari za picha

Kongamano la muamko wa kiislamu lafanyika nchini Nigeria katika mji wa Katsina

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kongamano la muamko wa Kiislamu lafanyika katika mji wa Katsina nchini Nigeria ikihudhuriwa na wana harakati mbalimbali wa masuala ya tamaduni, ikiwemo maulama na wanafikra mbalimbali nchini humo, katika kongamano hilo la siku tatu, wazungumzaji wote waliopata fursa ya kuongea katika kongamano hilo wamesisistiza suala la kuachwa huru kwa sheikh Ibrahim Zakizakiy pia walibainisha nafasi ya kamanda Qasim Soleimani na wenzake katika kuvisambaratisha vikundi vya kigaidi nchini Iraq na Syria.