Main Title

source : ABNA
Ijumaa

24 Januari 2020

07:39:24
1004926

Picha :“...wale mabwana waliokuwepo katika meza ya makubaliano, ndio hao hao magaidi ya uwanja wa ndege wa Baghdad.."

Kupitia ukurasa maalumu wa kiongozi mkuu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatollah Khamenei, imeenea picha yenye kuonyesha uhalisia wa tukio la kuuwawa kishahidi Qasem Suleimani.

Shirika la habari la Ahlubayt (as) ABNA: Kupitia ukurasa maalumu wa kiongozi mkuu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatollah Khamenei, imeenea picha yenye kuonyesha uhalisia wa tukio la kuuwawa kishahidi Qasem Suleimani.

Picha hiyo i ishara na tafsiri ya sehemu ya hotuba aliyoitoa kiongozi huyo mnamo Ijumaa iliyopita katika sala ya Ijumaa jijini Tehran.

“...wale watanashati na mabwana ambao walikuwepo katika meza ya makubaliano, ndio hao hao magaidi ya uwanja wa ndege wa Baghdad..”

Ayatollah Khamenei.

mwisho/290