Main Title

source : ABNA
Ijumaa

24 Januari 2020

13:14:54
1004979

habari za picha

Mamilioni ya wananchi wa Iraq wajitokeza dhidi ya Marekani-1

hasira za wairaq

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mamilioni ya wananchi wa Iraq waandamana kupinga kuwepo kwa majeshi ya Marekani nchini humo maandamano ambayo yameitishwa na kiongozi wa kikundi cha Sadr ambaye ni Muqtada Sadr na kufanya leo siku ya Ijumaa nchini humo.