Main Title

source : ABNA
Jumamosi

25 Januari 2020

19:19:52
1005451

habari za picha

omoja wa wanazuoni wa Pakistan waonana na familia ya Qasem Soleimani

shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wanachama wa shura ya umoja wa kitaifa wa madhehebu za kiislamu nchini Pakistan ikikusanya madhehebu ya shia na Sunni, waliwasili nyumbani kwa Kamanda Shahid Qasim Soleimani na kuonana na familia ya Kamanda huyo shujaa nakutoa salamu za rambirambi kwa familia hiyo kufuatia kuuwawa kikatili kwa kamanda huyo.