Main Title

source : ABNA
Jumapili

2 Februari 2020

14:27:29
1007202

Video: Muonekano wa Shahidi Qasem Suleimani akiwa ndani ya kaburi la Imam Ridha (as)

Video adimu kuonekana ikimuonyesha aliyekuwa kiongozi wa Jeshi la Quds nchini Iran Jenerali Qasem Suleimani akiwa ndani ya kaburi tukufu la Imamu Ridha (as) mjukuu wa Mtume (saww) ndani ya mji mtukufu wa Mash Had.

Shirika la habari la Ahlubayt (as):