Main Title

source : ABNA
Jumapili

2 Februari 2020

14:41:01
1007205

Picha adimu za aliyekuwa Kiongozi wa Jeshi la Quds la Iran Shahidi Qasem Suleimani akiwa na baadhi ya viongozi wa Jeshi na mapambano nchini Iraq na Lebanon

Shirika la habari la Ahlubayt (as):

Picha adimu za aliyekuwa Kiongozi wa Jeshi la Quds la Iran Shahidi Qasem Suleimani akiwa na baadhi ya viongozi wa Jeshi na mapambano nchini Iraq na Lebanon. Pichani ni Qasem Suleimani, Shahid Ahmad Kazemii,  Hajj Emad Mughniyah, Sayyed Mustafa Badrudeen na baadhi ya viongozi wengine wakiwa pamoja na Sayyed Hassan Nasrullah.