Main Title

source : ABNA
Jumanne

4 Februari 2020

18:31:06
1007914

habari za picha

Maombolezo ya mashujaa Qasim Suleimani na Abumahdi Muhandisi mjini Sargodha Pakistan

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maombolezo ya kuwakumbuka mashahidi Kamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi na wale walikuwa pamoja nao, yamefanyika katika mji wa Sargodha nchini Pakistani yakihudhuriwa na Allamah Rajeh Nasir Abbasi Jaafari kiongozi mkuu wa shura ya Wahdat Musilimina na Sahibzadeh Hamid Reza mkuu wa shura ya umoja wa Masunni wa Pakistan alkadhalika Arefu Husein Aljani mkuu wa jumuia ya wanachuo wa kishia nchini Pakistan ambapo wote walipata fursa ya kuzungumza katika kikao hicho cha maombolezo ya mashujaa hao.

.........

290