Main Title

source : ABNA
Jumanne

11 Februari 2020

16:01:42
1009472

habari za picha

Maombolezo makubwa yafanyika ya kukumbuka siku ya arubaini ya Qasem Soleimani mjini Karachi

Shirika la habari AhlulBAYT (A.S) ABNA: maombolezo ya kumbukumbu za siku Arubaini za kufa kishujaa kwa kamanda Qasim Soleimani na Abumahdi Muhandisi “kiongozi wa kikundi cha jeshi la Hashdu Shaabi ya Iraq”, maombolezo ambayo yalihudhuriwa na wananchi wengi wa mji wa Karachi nchini Pakistan, huku Allamah Raja Nasir Abbas Jafari akiwa ni miongoni mwa waliopata nafasi za kuzungumza katika maombolezo hayo nchini humo.