Main Title

source : ABNA
Jumanne

11 Februari 2020

17:53:53
1009484

habari za picha

Maombolezo ya kumkumbuka Shujaa Kamanda Qasem Soleimani yaliotishwa na Ayatullah Makarim Shirazi

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maadhimisho ya arubaini ya kamanda shujaa Qasim Soleimani na Abumahdi Almuhandisi yamefanyika katika mji wa Qum, maadhimisho ambayo yaliandaliwa na Ayatullah Makarim Shirazi ambapo yalihudhiuriwa na wanazuoni wengi ikiwemo Ayatullah Muhsin Araki, Dr Ali Akbar Wilayati na maulama wengine mbalimbaliu