Main Title

source : ABNA
Ijumaa

14 Februari 2020

07:40:17
1010170

habari picha

Maadhimisho ya miaka 41 ya mapindunzi ya Iran pamoja na siku ya Arubaini ya kuuwawa kamanda Soleimani na Muhandisi nchini Ivory

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maadhimisho ya sherehe ya kukumbuka ya miaka 41 ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran ikiambatana na arubaini ya Shahidi kamanda Qasim Suleimani na Abumahdi Almuhandisi pamoja na waliokuwa pamoja nao, yamefanyika katika mji mkuu wa Ivory Coast, ambapo ni katika miji muhimu zaidi nchini humo. Maadhimisho hayo ylihudhuriwa na msafara wa jumuia ya kimataifa ya AhlulBayt (a.s) iliofanya safari nchini humo, maadhimisho ambayo yalifanyika katika jengo la Jamiatul Mustwafa nchini humo. kwa upande mwingine mashia na wafuasi wa AhlulByt zidi ya 500 walijumuika katika maadhimisho hayo, Sheikh Zakaria Kunati ambaye ni katika wanazuoni wakubwa wa Shia nchini humo, Hujatul-islamu “Muhammad Ali Muinioni”, Sayyed Zamani Huseini, Sheikh Isaqa Kulibali, Sheikh Yunus Watara, Sheikh Abdallah Doso ni katika maulama waliozungumza katika maadhimisho hayo.