Main Title

source : ABNA
Jumatano

4 Oktoba 2023

17:06:40
1397892

Ripoti katika picha za ziara ya Rais wa Baraza la Kimataifa la Ahlul-Bayt (A.S) katika shule za Muntazar Ahlul Kisa jijini Nairobi.

Shirika la habari la Ahlul Bayti (AS) ABNA limekufahamisha kuwa Ayatullah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Baraza la Dunia la Ahlul Bayti (AS) katika ziara yake nchini Kenya alitembelea shule za kidini za "Muntazar" na "Ahl Kisa" katika vitongoji vya Rirota Nairobi, mji mkuu wa Kenya.