source : Abna
Jumatano
8 Januari 2025
15:46:40
1521277
Ripoti ya Picha | Vijana wa Kishia wa Urusi na Georgia wamekutana na Mkuu wa Jumuiya ya Mahdawiyyah ya Hawzat za Kiilmu
Kwa mujibu wa Shirika la ABNA, Kundi la vijana wa Kishia kutoka Urusi na Georgia, waliohudhuria katika Jumuiya ya Mahdawiyyah ya Seminari (Hawzat) za Kiilmu katika Mji wa Qom, ambapo walikutana na Hojjat al-Islam wal_Muslimina, "Mohammed Taqi Rabbani", Mkuu wa Jumuiya hii. Katika mkutano huu, walielezea maswali yao na wasiwasi wao katika uwanja wa Umahdi (Mahdawiyyah), na wakapokea majibu mazuri yanayofaa kutoka kwa Hojjat al-Islam wal_Muslimina Mohammed Taqi Rabbani.